Kijana huyu ambaye ni mhitimu wa chuo kikuu huko China anadai hadi yeye kufukia hapo alipo juhudi binafsi za baba yake,ambaye ndiye alikuwa mfadhiri wake,amemhangaikia,baba hakujijali badala yake aluwekeza kwa mwanae huyo kupitia elimu.
Mama huyu nae hakati tamaa,anapambana kwa kila hali kuyamudu maisha,lkn hasa kuhakikisha mwanae anakula,anavaa,anaishi,anasoma na kufikia hatua ya mtoto kujitegemea.
Usimdharau mzazi,mpe heshima yake,msaidie,mleee na kumtunza mzazi.Kumbuka
MZAZI WAKO NDIYE SHUJAA WAKO.Chukua hatua.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni