Jumanne, 23 Agosti 2016

CHADEMA YAILAZA MACHO WIZARA YA MAMBO YA NDANI.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kupitia oparesheni take ya UKUTA ambayo maandalizi yake yanazidi kushika kasi sehemu mblmbl za nchi imeendelea kuifanya wizara ya mambo ya ndani na jeshi la polisi nchini kuwa tayari kila siku.
Oparesheni UKUTA inayoratibiwa na Chadema inayolenga kupinga udikteta Tanzania na ambayo imepangwa kufanyika Septemba 1 mwaka huu yaani mwezi ujao imezidi kuleta joto la aina yake hali inayopelekea jeshi la polisi kula jaramba ili kujiandaa na kuidhibitia oparesheni hiyo.















Hakuna maoni: