Ujasiriamali,Biashara,Mahusiano,Siasa,Michezo, Burudani na Matangazo.
Jumapili, 14 Agosti 2016
UPENDO NI TIBA KWA NAFSI ILIYOJERUHIWA
Ukionesha upendo,nawe utapewa upendo.Usimdharau mtu kwa sababu ya udhaifu ama mapungufu yake.Ktk maisha kuna kutegemeana,kuna mapito mengi ambayo binadamu huyapitia.TUPENDANE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni