Jumanne, 30 Agosti 2016

ALIYEIUA AFRICAN LYION HUYU HAPA.

Katika pambano la soka ligi kuu vodacom Tanzania bara dhidi ya Young Africans(Yanga)na timu ya African Lyion juzi uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuna mchezaji wa Yanga aliingia akichukua nafasi ya Donald Ngoma.Mchezaji huyo Yusuph Mhilu alicheza dk 3 tu,huku akigusa mpira mara 3 tu na mara ya hiyo ya tatu na ya mwisho kwake kugusa mpira ktk mchezo huo ndiyo ilizaa goli la 3 na la Ushindi kwa Yanga.Mhilu ndiye aliyemaliza kazi ya Yanga ktk kuwashughulikia African Lyion au Simba ndogo.

Hakuna maoni: