Hali ya Mbunge wa Arusha mjini Mh.Godbless Lema kiafya iko matatani kutokana na Mbunge huyo kususia kula chakula kwa masaa 48 sasa.Hii imekuja bbaada ya Mbunge huyo wa Chadema kukamatwa na polisi na kuswekwa Rumande na jeshi la polisi jijini humo kwa madai yanayomkabili kwa kuandika na kutuma habari za uchochezi ktk ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii.
Tangu amekamatwa Agosti 26 nwaka huu yaani siku 2 hadi unatoka taarifa hii Mh.Lema amejataa kabisa kula wala kunywa maji akidai kukamatwa kwake ni uinevu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni