Baada ya ule mchezo wa mapenzi na ndoa za jinsia moja(Ushoga)kupingwa ama kupigwa vita mataifa mengi ya Kiafrika,sasa jamii inayohusudu mchezo huo mchafu wamerudi na mbinu mpya ambapo wamechapa vitabu na kuamza kuvisambaza kwa siri sehemu nyingi za Afrika.Vitabu hivyo ambavyo vinafundisha mbinu na njia mbalimbali za kumushawishi mtu kuingia kwny mapenzi ya jinsia moja mfano kwa kumfanyia mizaha ama utani kumbe binafsi unakuwa umedhamiria,lkn pia kuna njia za kumtengeneza mtu kisaikolojia na kumfanya awe shoga.Hata hivyo jamii za Waafrika zinapinga vikali mchezo huu mchafu na kulaani watu wa haki za binadamu kusimama kidedea kushawishi kukua ama kuendelea kwa aina hiyo ya ndoa au mapenzi kwa visingizio vya kwamba ni haki kwao wale wenye tabia hiyo.
Ushauri kwetu vijana na jamii nzima ya Waafrika ni kwamba kwanza kwa mila na desturi zetu kama Waafrika mchezo huo siyo mzuri na kwamba una athali kidaikolojia,kiafya,maumbile na maisha kwa ujumla.Lkn pia hata kwa imani zetu za kidini bado si mzuri.
Hivyo kila mmoja kwa nafasi yake achukue tahadhari kwa kuupinga mchezo huo na kuendelea kuwaelimisha na wengine KUSEMA HAPANA KWA USHOGA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni