Ujasiriamali,Biashara,Mahusiano,Siasa,Michezo, Burudani na Matangazo.
Jumanne, 9 Agosti 2016
AUSTRALIA WAANDAMANA KUPINGA UBAKAJI.
Raia wa Australia waungana na kuamua kuandamana kupinga vitendo viovu vya ubakaji ambavyo vimeshika kasi ktk maeneo mengi ya nchini humo.
Hatua hiyo imekuja baada ya mama mmoja wa makamo kumbaka motto wa miaka Tisa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni