Timu ya soka na mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara Young Africans(Yanga)ya jijini Dar es Salaam wako hatarini kushuka daraja baada ya kushindwa kuwasilisha ripoti yenye orodha ya wachezaji wake wa kigeni TFF na mtandao wa Fifa unaohusika na mambo hayo licha ya kwamba muda kuwa umekwisha na tayari msimu mpya kukaribia kuanza...,huku timu zingine zikifanikiwa kutimiza vigezo vyote
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni