Mbunge wa Singida Mashariki Mh.Tundu Lisu amesema UKAWA watazidi kupambana na utawala wa CCM mtaani na mahakamani pia kwa kile alichodai ni ktk kutetea haki na misingi ya sheria kwa ajili ya demokrasia huru hapa nchini.
Lisu aliyasema hayo jana Mara baada ya kutoka mahakamani kwa dhamana iliyogharimu Tsh.10 milioni za Kitanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni