Hatimaye Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana iliingia ktk simamzi baada ya aliyewahi kuwa Rais wa awamu ya pili visiwani Zanzibar Mh.Aboud Jumbe Mwinyi kuaga Dunia nyumbani kwake Kigamboni jijini Dar es Salaam.Hayati Jumbe alifikwa na umauti majira ya mchana akiwa nyumbani kwake kwa kile kilichodaiwa ni uzee.Mzee Jumbe alizaliwa mwaka 1920 hadi anafikwa na umauti siku ya jana 2016 alikuwa ametimiza miaka 96.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni