Leo tuzungumzie habari za ulevi na utumiaji mbaya wa sare za dola.
Hivi inakuwaje hadi mtu kufikia maamuzi ya kumnywesha mtoto pombe au kwenda naye viwanja vya starehe za watu wazima kama baa na kwa pesa yako mwenyewe unajiamulia tu kununua kilevi na kumnywesha mtoto au hata kumvutisha sigara au kumtuma mtoto akakuwashie sigara ilihali unajuwa kabisa kuwa pombe hairuhusiwi kutumiwa na walio chini ya umri wa miaka 18?,au unamvutisha mtoto sigara wakati imeelezwa wazi kuwa uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya.
Au mtu hujawahi kwenda mafunzo ya kijeshi wala ww siyo mwanajeshi au askari wa jeshi lolote,unajishughulisha tu na mambo yaliyo nje na mambo ya jeshi lkn kwa makusudi unaamua tu kuvaa na kuzurula nazo sare za jeshi.Hivi mtu kama huyu akishurutishwa kuna makosa?.
Aaah,Mpigwe tu maana mnajitakia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni