Kijana mmoja ambaye hakujulikana Nina Mara moja juzi kati alijikuta matatani baada ya kufumwa na jeshi la polisi akiuza t-shirt za UKUTA oparesheni inayoratibiwa na Chama cha Chadema kama ni Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania iliyopangwa kufanyika septemba mosi wiki ijayo.
Hata hvy jana jeshi hilo la polisi mbali na kuzungumzia suala la kushambuliwa kwa askari wake wanne juzi usiku na kupoteza maisha ktk tawi la benki ya CRDB Mmbande jijini Dar,lilisisitiza na kuonya vikali kuhusu mikutano ya ndani ya vyama vya siasa likidai kuwa vinachochea vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa Amani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni