Jumanne, 9 Agosti 2016

KUPIGWA TUNAJITAKIA.

Hivi kwa nini sisi binadamu siyo waelewa na wenye kukubali na kuutii utaratibu ulowekwa ili tuishi kwa Amani?
Yaani unakuta mtu anajuwa kabisa kwmb kitu Fulani hatakiwi kukifanya eidha kutokana na umri waka,au eneo alipo au hata kwa usalama wake na afya take.
Mtu kama huyo akipigwa kuna lawama gani?.Hawa watu wamekamatwa wakiwa ktk kazi yao ya kuwanga.Lkn siku zao zimefika.
APIGWE TU MAANA ANAJITAKIA.

Hakuna maoni: