Alhamisi, 18 Agosti 2016

ADUI HAWEZI KUWA RAFIKI HATA SIKU MOJA

Hivi umewahi kujiuliza kwamba kwa nini maadui huwa hawadumu ktk urafiki au hata wakipatanishwa ile asili au hali ya uadui unakuwa bado umo kati yao hali inayopelekea vinyongo kuishi kati yao?
Tizama hapa,Mwl.Nyerere,Mr.Sugu,Robert Mugabe,Maalim Seif walivyowahi kushindwa kuwapa mikono au kupikea salamu toka kwa mahasimu wao?.
Hii ipo,tena hutokea pale ambapo mtu ametoka kukukwaza au kukuchukiza eidha kwa maneno au tabia zake ambazo hupendezwi nazo,au hata kutaka kuijeruhi hatima yako halafu anakuja mbele yako na kukupa mkono au salamu bila kujali aliwahi kukukwaza au yeye na wewe ni mahasimu kwelkweli!!!!?.



Hakuna maoni: