Jumamosi, 6 Agosti 2016

POLISI YAMPAISHA LISU KIMATAIFA

Jeshi la polisi nchini Tanzania pamoja na Mara ambazo limemkamata Tundu Lisu kwa mashitaka mbalimbali limezidi kumpa chati Mh. Lisu.
Kwa Leo peke yake Kimataifa jina la Tundu Lisu limekuwa gumzo na kutafutwa mitandaoni note kuta kumjuwa ni nani.Google search peke yake wamedai kwmb Leo wamepokea maombi zaidi ya wasomaji milioni 82 ya kutaka kumjuwa Tundu Lisu.Who's Tundu Lisu?/Tundu Lisu ni nani?.
Ingekuwa kama ndiyo Chakula basis Leo Tundu Lisu angeshibisha wengi na pengine asingewatosheleza.Hii inakuja kutokana na vile anavyolipotiwa ukamatwaji wake,kuhojiwa kwake na vile anavyoweza kuwasumbuwa wanasheria wa serikali awapo mahakamani.Hapa Tanzania peke yake Tundu Lisu ametajwa karibia magazeti yote ya Leo.







Maoni 1 :

Unknown alisema ...

Wanyooshe ivyo ivyo