Hii huja pale ambapo mtu kwa makusudi hutekeleza ama hufanya jambo lilopigwa marufuku au kukakatazwa ama lisilofaa kwa jamii.
Hii imetokea nchini Nigeria ambapo Dada mmoja alipigwa viboko baada ya kuvaa suruali iliyobana na kutembea mitaani ili hali nguo na mtindo huo wa uvaaji vimini na nguo zinazobana zimepigwa narufuku nchini humo.
Au unakuta mwanafunzi hajisomei,hatafuti maarifa mapya kila siku ili kumsaidia kufauru mitihani badala yake anakwenda kwa mganga kuusaka ufauru.Mfano wa huyu kijana alikwenda kwa mganga ili afauru mtihani akapewa masharti ya kuoga nje hadharani tena mchana peupe kila siku had I siku ya mtiahani bila kujisomea.Kilichotekea alifanya mtihani na bado kwny matokeo akaferi.
TUJIFUNZE:Ruhusu nafsi yako kuridhia kilichokatazwa NA siyo kupinga ili mradi tu kunalenga kukulinda.Na siyo kupuuzia tu.
MPIGWE TU KWA KWELI.MNAJITAKIA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni