Filamu ya msanii wa filamu nchini Tanzania Gabo Zigamba,naizungumzia Safari ya Gwalu yampaisha kimataifa MSANII huyo.
Safari ya Gwalu ni filamu yenye maudhui flani hivi adhimu.Gabo alishinda tuzo ya MSANII bora wa kiume anayechipukia huku filamu yake ya Safari ya Gwalu ikitajwa kuwa filamu bora sn kunako tasnia hiyo.Yote hayo yalijili kwny tamasha la filamu Zanzibar liitwalo Zanzibar International Film Festival lililoisha hivi karibuni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni