Kupigwa huwa hakuji tu hivihivi bila sababu.Ukiona unapigwa ujuwe kabisa kwamba una makosa.Na kupigwa siyo tu ni makofi bali yaweza kuwa faini,kuibiwa,kutekwa,kuharibikiwa nk.Yaani ni pale ambapo mtu kwa makusudi unajifanyia tu mambo ya hovyo ilihali unajuwa kwamba kwa kufanya hivyo unakosea.
Aaaaah,TUPIGWE TU MAANA MENGINE HAYA TUNAJITAKIA wenyewe.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni