Jumanne, 2 Agosti 2016

UPENDO NI TIBA KWA NAFSI ILIYOJERUHIWA.

Tumeagizwa upendo,tuwapende na kuwajali ikiwemo kuwabari walio wanyonge na masikini wa haki,tukikumbuka ya kwamba aliyetubariki sisi ndiye mwenye kuwabariki na wao,yaani hata hivi tulivyo ni kwa neema ya Mungu tu.

Hakuna maoni: