Hatimaye madaktari na wataalamu wa maabara waiidhisha supu ya pweza kwamba ni tiba tosha kwa wagonjwa wenye upungufu wa nguvu za kiume.
Hii imekuja baada ya wataalamu hao kuifanyia utafiti wa kina supu hiyo.Kwa mantiki hii,supu hiyo sasa siyo ndoto za alinacha au imani potofu tena bali ni tiba isiyotiliwa shaka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni