Jumanne, 9 Agosti 2016

SIMBA YAILARUA LEOPADS

Timu ya soka ya nchini Tanzania Simba FC jana ilichabanga vyakutosha timu ya soka ya Leopads ktk uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.
Ktk mchezo huo wa Kimataifa wa kirafiki,Simba iliishindilia timu hiyo Magoli 4 kwa sifuri bila huruma.Simba iliokuwa ikiurumia mchezo huo kujipima nguvu kuelekea msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania bara imetuma salamu kwa timu pinzani ikiwemo Yanga ambao ni watani wao wa jadi kwamba wajiandae kupata dozi kwani silaha ilizonazo msimu huu ni hatari.


Hakuna maoni: