Ujasiriamali,Biashara,Mahusiano,Siasa,Michezo, Burudani na Matangazo.
Jumanne, 2 Agosti 2016
KUPIGWA TUNAJITAKIA.
Hii huja pale ambapo mtu ameelekezwa kuwa asifanye jambo fulani eneo alipo lkn yeye kwa makusudi au kwa sababu anazozijuwa yeye anaamua tu kujifanyia.Sasa basi linapomkuta la kumkuta anaanza kulaumu au kujutia.Kupigwa tunajitakia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni