Ujasiriamali,Biashara,Mahusiano,Siasa,Michezo, Burudani na Matangazo.
Ijumaa, 12 Agosti 2016
MCHANA NA KATUNI.
Kama tatizo ni Lugha ya KIGOGO kuzuia watendaji wa Serikali kuhamia Dodoma,Magufuli aliwataka wajifunze lugha hiyo.Hata hivyo uamuzi wa Raid Magufuli serikali kuhamia Dodoma umeonekana kukubalika na kuungwa mkono wakiwemo mawaziri wake.
ENJOY.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni