Jumapili, 14 Agosti 2016

OPARESHENI UKUTA YAZIDI KUSHIKA KASI

Maandalizi ya oparesheni UKUTA yanaendelea kushika kasi maeneo mbalimbali Nchini.Oparesheni hiyo iliyoundwa na Chadema kwa kwa lengo la Kupinga Udikteta nchini na ambao umepangwa kufanyika Septemba 1 mwaka huu nchini note maandalizi yake yanaendelea kwa viongozi na makada wa chama hicho wakiendeleza vikao vya ndani mikoa,wilaya,tarafa,kata na vijiji mbalimbali.
Ukuta imekuja baada ya Serikali kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ya hadhara kuendeshwa na vyama vya siasa nchini.

























Hakuna maoni: