Ujasiriamali,Biashara,Mahusiano,Siasa,Michezo, Burudani na Matangazo.
Jumanne, 9 Agosti 2016
MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUWAVYO.
Waswahili husema samaki mkunje angali mbichi,lkn pia wakasema kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Hivi mzazi au mlezi unayefanya upuuzi mbele ya mototo au kumfunza mtoto ujinga unategemea nini?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni