Ijumaa, 19 Agosti 2016

VIJANA NA MAISHA.

Kama kijana ruhusu kujenga historia nzuri ktk maisha,historia itakayokuonesha wapi ulianzia,yepi ulupitia yakawa kama daraja wewe kufikia hatima au malengo yako.

Mpoki na Joti walianza kama wchekeshaji wa mtaani,wakajipaka masizi nk.Huku wakichekesha vituo vya daladala,vijiweni,mashuleni nk.Lkn leo je,watu hawa wakoje kimaisha?.
Mbwana Ally Samatta,naye kama ndoto vile alicheza lkn kwa malengo na leo hii ni mtu mwingine kabisa.Diamond Platinum naye alikuwa muuza maji na mitumba lkn leo naye ni mtu mwingine kabisa.Usichague kazi coz unawezakuta kazi hiyo ndiyo mwanzo na njia ya kufanikiwa kwako.
PIGA KAZI.




Hakuna maoni: