Alhamisi, 11 Agosti 2016

KUPIGWA TUNAJITAKIA

Siku zote mdharau mwiba mguu huota tende.Mtu umeambiwa usifanye au kujihusisha na jambo Fulani eneo fulani,ama usifanye vitu fulani kwani kwa kufanya hivyo utakuwa na makosa lkn mtu kwa makusudi tu anapuuzia onyo.Sasa mtu kama wewe unapokuwa umekiuka utaratibu Ukipigwa kuna kosa?.
UPIGWE TU MAANA UNAJITAKIA.

Hakuna maoni: