Alyewahi kuwa Miss Brazir,ameumbuka baada ya madawa ya kuongeza makalio aliyokuwa akiyatumia kumletea madhara.
Wadada wengi wa kiafrika wamekuwa wakijikwatua kwa kutumia vipodozi au hata madawa ya kujinenepesha au kujikuza baadhi ya sehemu za m
iili yao ikiwemo makalio huku wakijuwa kabisa kwamba kuna madhara.Tumeshuhudia watu wakiharibika nyuso kwa kuunguzwa na vipodozi nk.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni