Jumamosi, 27 Agosti 2016

TUMETOKA MBALI HIVYO MAISHA NI HATUA.

Joti na Mpoki Leo ni Makomedian wakubwa lkn kihistoria hawakuwa hivyo Bali ni Vipaji,Kujituma,nidhamu ya kazi na juhudi binafsi ndizo zimewafikisha mahali walipo bila kusahau kujitambua.
Elizabeth Michael a.k.a Lulu,alianza kuonekana ktk maigizo na tamthilia angali mdogo kabisa,kiasi kwamba alishangaza watu hali iliyopelekea kumtabilia makubwa mbele yake na ndivyo ilivyokuja kuwa.Leo Lulu tunayemtaja hapa si msichana unayeweza kumnyima kura ktk medalist mbalimbali kwenye tasnia ya filamu Tanzania.Wrote hawa Leo maisha yao yamebebwa na vipaji na juhudi zao.
Wamekuwa ni sehemu ya kuhivunia ktk jamii ya Kitanzania.
Ukiwa kama kijana huna budi kujifunza kutoka kwa watu wa aina hii.Simamia mawazo yako,jitahidi kugundua karama yako.Acha kuyumbishwa na Dunia.Tazama maisha yanataka nini kwanza.Jenga mbinu mbadala NA sahihi ktk kujifanikisha.Tuepuke mafanikio ya haraka kwani hutupitisha ktk magumu NA majaribu yaletayo maumivu kwa hatima zetu.

Tumeumbwa wakuu,tumeumbwa kushinda na so kushindwa.Tena tujitahidi kutafuta maarifa.Tusomeni vitabu jamani,twendeni kwenye semina za ujasiriali tukajifunze mambo.Lkn pia tuutumie vizur muda tulonao ktk kuzifanya changamoto zetu kuwa fursa ktk maisha yetu badala ya kukaa tu tukisubiria ajira.
Tumetoka mbali sana kama Taifa,Nani wa kutujengea uchumi wetu kama sisi wenyewe hatutajitambuwa?.Lulu,Joti NA Mpoki wana mini hawa hatswakafanikiwa halafu were na Mimi tukashindwa?.Shituka sasa,Kamata Fursa,Fungal mkanda kisha Twenzetu.Wewe NA Mimi bila umasikini inawezekana.


Hakuna maoni: