Msafara wa Waziri mkuu wa zamani wa awamu ya nne nchini Tanzania na mgombea urais kwa tiketi ya Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa 2015 Mh.Edward Ngoyay Lowasa umezuiliwa kuingia Rukwa na Katavi.
Lowasa anaingia mkoani humo (Rukwa) kwa ziara ambayo ingempeleka hadi mkoa mpya wa Katavi.Imedaiwa kuwa msafara huo umezuiliwa kwa kile kilichodaiwa kutokuleta mgongano wa kiratiba kwani Waziri mkuu wa sasa Kasim Majariwa naye anayo ziara ya kikazi mikoani humo.Kamanda wa polisi Rukwa George Kyando anasema.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni