Alhamisi, 25 Agosti 2016

KUPIGWA TUNAJITAKIA.

Jamani,MTU huwezi kupigwa hivihivi bila sababu au kukiuka taratibu zilizowekwa.
Dah!binafsi nashindwa kuelewa kwamba wakati mwingine watu wanakuwa hawajui au wanajiamulia tu kukiuka sheria ama taratibu?.Hii ni barabara ya mabasi yaendayo kasi,na kwa hivyo magari ya kawaida hayaruhusiwi kupita humo lkn mtu kwa dharau au makusudi anajipitia tu.
Swali je,mtu kama huyu akipigwa kuna sababu za kuraumiwa?.
WAPIGWE TU,KWANI TUNAJITAKIA.

Hakuna maoni: