Jumatano, 10 Agosti 2016

BREAKING NEWS:LISU AKUTANA NA WANAHABARI.

Mwanasheria mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki mh.Tundu Lisu Leo mida ya tano amekutana na Waandishi wa habari na kuzungumza nao.
Ktk mkutano huo Lisu amezungumzia kuhusu barua za wito kutoka tume ya maadili kwa watumishi wa Umma walizotumiwa yeye pamoja na m/kiti wa chama hicho taifa mh.Freeman Mbowe ya kwamba wajieleze kwa nini wasichukyliwe hatua ya kinidhamu ya kukiuka viapo ealivyospa ktk kuutumikia umma.
Pia Lisu akazungumzia kuhusu UKUTA na opatesheni zake huku akisisitiza kuwa hakuna mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye lengo au nia ya kumjaribu Rais,na kwa hvyo oparesheni UKUTA ilopangwa kufanyika septemba mosi iko palepale.Wakati huo Mbowe naye alishasema kuwa yeyote aliye mwanachadema NA mzalendo wa taiga hili abate hataandaa mafanikio ya iparesheni hiyo ni msaliti wa chama na demokrasia nchini.


Hakuna maoni: