Watoto hawa hawakupenda kuwa hivi,ni vita nchini mwao imewasababishia adha hii,hawana baba wala mama,wakigeuka nyuma mabomu,wakienda mbele risasi,wakikaa njaa.Ni msiba kwao kila iitwapo leo.
Magonjwa hayaachi kuwaandama,kiu ni sehemu ya maisha yao.Pengine wanatamani nao waende shule,lkn wapi wataanzia.Tuwapende wenzetu,tuwahesabu kuwa ni sehemu ya maisha yetu.
Upendo unaweza kuwa tiba ya majonzi yao,upendo unaweza kuwa sehemu ya furaha yao.TUPENDANE.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni