Kijana huyu ameonesha upendo kwa mama yake ambaye ni mgonjwa.Upendo km huu huweza kumpa tumaini mgonjwa la kupona,hujihisi ni wa kipekee,anapendwa,hanyanyapaliwi ni kwa hivyo uwepo wake na uhai wake ni wa thamani kwa familia na jamii yake pia.
Watoto hawa hawakutaka wawe hv lkn hali ya maisha na huluka za kibinadamu tena zilizo nje ya uwezo wao basi wamejikuta ktk hali hiyo.
Tuwapende wenzetu ktk hali zote walzonazo.Kufanikiwa ni neema tu ya Mungu.Amini kama aliwanyima wao akakupa ww vivyo hivyo anaweza pia kuibadili hali yako na wao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni