Ijumaa, 5 Agosti 2016

POLISI YAITAKA TCRA KUMFUNGIA LISU.

Jeshi la polisi nchini laitaka mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA kuzifunga akaunti zote za Mbunge wa Singida Mashariki(Ikungi)Mh.Tundu Lisu ambazo anazitumia ktk mitandao ya kijamii km vile Facebook,Twitter na nyinginezo kwa sababu anazitumia vibaya kwa kuandika na kuzituma habari za kichochezi na zenye mlengo wa kuipinga Serikali NA kuchochea uvunjifu wa Amani.
.

Hakuna maoni: