Jumatano, 7 Septemba 2016

ADUI YAKO ANAWEZA KUWA RAFIKI YAKO USIISHI KWA KUKARIRI.

Ndiyo,adui yako wa leo anawezakuwa rafiki yako wa kesho.Wahenga walisema "Mtoto wa mwenzio ni wako".
Kabisa hawakukosea hata.Anayekuchukia leo,pengine anafanya hivyo kwa kushinikizwa,au ni hulka yake au anafanya kwa kutokujuwa.Mpe nafasi akutambue ipo siku atautambuwa uwepo wako kwake ama wake kwako...
Usikariri.

Hakuna maoni: