Huwezi kupigwa hivihivi bila sababu na hasa zile sababu zinazoashiria dharau kwa ukiukwaji wa utaratibu Fulani ulowekwa ama elekezi kama ONYO kwako mpigwaji.Hivi MTU umeelekezwa kabisa tena kwa msisitizo na maandishi au hata mshale lkn bila hats woga unadharau tu na kutimiza haja zako.
MTU kama Huyo akipigwa kutokana na kosa lake ni dhambi?
TUPIGWE TU MAANA TUNAJITAKIA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni