Jumatatu, 22 Agosti 2016

MCHANA NA KATUNI

Baada ya Original Komed kuingia na sare inayodaiwa kuwa ni ya jeshi la polisi nchini ktk sherehe za harusi ya mwenzao Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji.Hv sasa wanakomedi hao wako mikononi mwa dola.

Hakuna maoni: