TUPENDANE.
Jumanne, 9 Agosti 2016
UPENDO NI TIBA KWA NAFSI ILIYOJERUHIWA.
Kama ilivyo kwa kila nafsi kuonja umauti basi vivyo ndivyo ilivyo kwamba kila nagsi inahiji amani,Furaha na hasa Upendo wa dhati wakati wote wa uhai ktk nyanja zote za maisha,wakati wa maradhi au changamoto pia bado upendo ni hitaji kubwa na la kwanza.Huyu mdada ilikuwa akilia na kutokwa na machozi mbele ya motto wake lkn kwa upendo na mguso wa ile simanzi ilimbidi amfute mama yake machozi.
TUPENDANE.
TUPENDANE.

Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni