Jumanne, 30 Agosti 2016

KUPIGWA TUNAJITAKIA.

Hivi ndugu zangu,bunadamu huwa tunapatwa na nini eti!?,Jamani mbona vitu vingine huwa viko wazi tu kwamba mbali na sheria au makatazo mbalimbli ukivitekeleza vitu hivyo ni dhahir kabisa kwamba ni hatari kwa uhai wako ama usalama wako.
Hebu oneni mtu kama huyu,mwenye akili timamu halafu anafanya upuuzi kama huu.Kwanza kama askari wa usalama barabarani akikutana na hali hii lazima ataanza na dereva kisha huyu aliyedandia huko nyuma.Jamani WAPIGWE TU,KWANI NI WAZI KWAMBA KUPIGWA TUNAJITAKIA.

Hakuna maoni: