Jumatano, 10 Agosti 2016

UKUTA MARUFUKU DAR.

Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania(UKUTA)uloanzishwa hivi karibuni na UKAWA wapigwa marufuku vikali jijini Dar.Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mh.Paul Makonda amesema hataki kuona mkoa wake unatumiwa na oparesheni hiyo.Aliagiza ulinzi kuimarika na kupambana na viashiria vyovyote vya kuwepo kufanikiwa kwa oparesheni UKUTA.

Hakuna maoni: