Jumatano, 17 Agosti 2016

DUNIANI TUNAFANANA AISEEEH.

Ama kweli humu Duniani watu tunafanana mno kwa sura.
Huyu jamaa alipoonekana katikati ya jiji la Dar es Salaam ilikuwa shida sana kwani watu waliamini ni Diamond Platinum coz anafanana naye mno.Ilibidi JAMAA kusimamishwa kwa muda na kuulizwa maswali kama je,wewe ni Diamond? Akasema hapana.Akaulizwa una undugu na Mnyama Simba,babaa wa Tiffa...akasema hapana.Akaulizwa kuwa unajijuwa kwamba unafanana na Diamond akajibu ndiyo,akaulizwa tena unaichukuliaje hali hiyo?.Alichojibu mi simo.




Hakuna maoni: