Alhamisi, 4 Agosti 2016

UPENDO NI TIBA KWA NAFSI ILIYOJERUHIWA.

Kila nafsi yenye uhai inahitaji upendo.Upendo hufurahisha,hupunguza machungu,husahaulisha maumivu.Upendo huumba upya kutimilika kwa Malengo na Amani kwa asiyenayo.
TUPENDANE.

Hakuna maoni: