Alhamisi, 4 Agosti 2016

KUPIGWA TUNAJITAKIA.

Kipigo hakijagi tu hivihivi bila sababu.Ukiona MTU anapigwa ujuwe amekiuka taratibu na sheria zilizowekwa au amekosea.
Hii huja hasa pale ambapo kwa tahadhari na usalama wake anakuwa ameelekezwa kuwa asifanye jambo LA aina Fulani kwny eneo fulani lkn yeye kwa sababu anazozijuwa yeye anajikuta kwa makusudi anafanya tu.We unamnywesha mtoto pombe unategemea mini?
Hivi mtu kama huyu kwa nini asipigwe?.

Hakuna maoni: