Alhamisi, 4 Agosti 2016

MCHUNGAJI AFA KWA MFUNGO

Mchungaji mmoja nchini Afrika Kusini amefariki baada ya kufunga bila kula na kunywa akimtafuta Mungu.Mchungaji huyo aliyetia nadhiri ya kutaka kuvunja rekodi ya Bwana Yesu Kristo aliyefunga siku 40 bila kula ama kunywa.Akiwa ktk kutimiza adhima yake hiyo mchungaji huyo aliamuwa kujitenga kwa kwenda zake nyikani na kunga huko na kuomba.

Hakuna maoni: