Jumatatu, 1 Agosti 2016

KUPIGWA TUNAJITAKIA.

Ni pale ambapo mtu unaona kabisa kuna maelekezo ya kukutaka ww mpita njia usifanye jambo fulani mahali ulipo kwa muda huo halafu mtu unafanya tu kwa makusudi.

Hakuna maoni: