Jumanne, 2 Agosti 2016

SABODO AMSAPOTI MAGUFULI

Mfanyabiashara  mkubwa Nchini akitosa kumuunga mkono Rais Magufuli ktk safari ya kuhamia Dodoma.
Mfanyabiashara huyo Bw.Mustapha Jaffer Sabodo ametangaza kutoa taslimu Dola za Kimarekani bilioni 5 ambazo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trilion 10 ili zikatumike kuujenga mji wa Dodoma uendane na makao makuu ya Nchi.

Hakuna maoni: