Jumatano, 3 Agosti 2016

PAPA FRANCIS AMFAGILIA MESSI

Kiongozi mkuu wa Kanisa Katholiki Duniani Papa Francis amesema kwa mtazamo wake mchezaji bora Duniani ni Leonel Messi.
Papa Francis aliyasema hayo alipokuwa ziarani nchini Poland ambapo aliulizwa swali hill kwamba kwa yeye anaona ni NANI mchezaji bora kati ya Diego Maradona na Pere.Yeye kwa kujiamini akasema anamkubali sana Messi na kwamba ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea hapa Duniani.

Maoni 3 :

Lastturkk alisema ...

https://youtu.be/YIS4lA0P-4s

lastturk alisema ...

ela messi
https://youtu.be/W9V6bBit2Gk

lastturk alisema ...

https://www.youtube.com/watch?v=W9V6bBit2Gk
https://www.youtube.com/watch?v=BdaotN4XrPM
https://www.youtube.com/watch?v=piux_48h_b8