Hivi mtu unapojiamulia tu kujifanyia vitu au mambo vilivyokatazwa kisheria unatarajia nini?.We,unajuwa kabisa huyu ni mume au ni mke wa mtu lkn kwa makusudi unaamua tu kutembea naye,basi angalau iwe mara moja tena kwa siri lkn ww unaamua kufanya tu kula siku tena hadharani.
Au unajijuwa kabisa ww hujafikia umri wa kuingia ktk mahusiano ya kimapenzi na inakatazwa kufanya hivyo lkn ww unajifanyia tu.
Au kisa ww ni mwalimu wa michezo basi unajizea tu na wanafunzi,unategemea ukutwa na yepi?.MPIGWE TU,KWANI MNAJITAKIA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni