Hapa Duniani kamwe hakuna mwenye kukuonea huruma kwa yale uyapitiayo zaidi ya Baba ama mama yako.
Motto huyu wa kiume alichukuliwa na baba yake toka kwa mama yake na kupelekwa kulelewa na mama wa kambo.Baba alimpenda sana kwani alikuwa mtoto wa pekee wa kiume kwake.KUMBE mama wa kambo alichukizwa na hilo kwa kuwa yeye alikuwa na watoto wa like tu peke take hvy akamini mototo huyo wa kiume ndiye atakayerithi Mali zote na kuwaongoza wenzie.Hatimaye mama wa kambo akawa anamtesa sana had I kumnyofoa macho kabisa.
Ndipo tunasema Mzazi wako ndiye shujaa wako kwani unadhani baba au mama wa mtoto huyo angekuwepo mama huyo wa kambo angeyatekeleza hayo?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni